Kijitonyama, COSTECH Ghorofa ya tatu(3). S.L.P 4302 Dar es salaam, Tanzania.
Pakua(Download) app ya Twende kutoka Google Play Store au App Store na kisha Jisajili kwa kuweka namba ya simu, majina yako, email n.k.
Jaza TwendeWallet kwa kuchukua pesa kutoka Tigo Pesa yako. Pesa kwenye TwendeWallet itatumika kulipa nauli mwisho wa safari yako.
Sasa unaweza kuita chombo cha usafiri kama gari, bajaj au boda kwa kuweka eneo uliopo na eneo unakoelekea. Dereva atakufuata hapo ulipo.
Twende inakupa huduma ya usafiri kwani ina madereva makini na salama ambao watakufikisha mahali popote bila wasiwasi. Pia unaweza kumtuma Dereva wa Twende mahali popote kupeleka au kuchukua mzigo wako kwa uhaminifu mkubwa.
Umbali na Muda ni vigezo vya kuhesabu nauli za Twende ili kupata bei nzuri.
Dereva wa Twende wamehakikiwa na mamlaka ili kutoa huduma iliyo bora.
Twende inatoa huduma kwa Wateja wake kwa masaa 24 kwa siku zote za wiki.
Abiria wenye furaha
Dereva Makini
Miji inayopatikana
Safari zilizokamilika
Dereva wa Pikipiki wa Twende wanabeba na kupeleka mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
App ya Twende imeunganishwa na huduma za kukata tiketi za ndege, basi, treini, vivuko n.k.
Ukiwa na app ya Twende, utaweza kupata huduma ya hoteli iliyo karibu nawe.
App ya Twende imeunganishwa na maduka mbalimbali kama ya Nguo, ya vifaa vya nyumbani, ya Vipodozi n.k ambapo mteja anaweza fanya manunuzi na kuletewa bidhaa nyumbani.
Ukiwa na TwendeWallet iliyounganishwa na Tigo Pesa utaweza fanya malipo ya nauli na huduma mbalimbali kwenye app ya Twende. Faida za TwendeWallet